Unaweza kuyatazama hapa matokeo yote ya kidato cha nne 2015

Baraza la mitihani nchini(NECTA) leo Februari 18, 2016 limetoa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne iiyofanyika mwishoni mwa mwaka 2015. Ufaulu umeshuka kwa 1.85% toka 69.75% mwaka 2014 hadi 67.91% mwaka 2015.

0 comments: