New Audio | Brai - Deka | Download/Listen


Mwana muziki wa kizazi kipya na chipukizi toka mkoani Morogoro Abrah Yanguga maarufu kwa jina la Brai, ameachia wimbo wake mpya kabisa unaoitwa Deka. Wimbo huo uliofanyika katika studio za Pure Record chini ya mtayarishaji Dizzi Mchizi, tayari umeshaazna kusikika katika maeneo mbalimbali na baazi ya vituo Vya Radio 

Sikiliza na Download hapa

0 comments: