AUDIO | Diamond Platnumz X Nay Wa Mitego - Freestyle[Diss Kwa Wema&Walper] | Download

  

 Kama ulikosa kuhudhuria au kuangalia kilichojiri kwenye Zari White Party, basi ulikosa kusikia na kutizama freestyle walioitoa Diamond na Nay Wa Mitego walipopanda jukwaani.mambo yalikuwa hivi....

Diamond: kama mapenzi shilingi, mi nilitoa hadi morano nikakimbiwa, vinjonjo vingi, naona vyote nlivyonavyo nkakaziwa.

Nay: we unatoa morano wenzio wanatoa Benz

zaidi  Download hapa chini usikie walichokuwa wakiimba kwa kubishana 

 

DOWNLOAD APP YETU YA BONGOMIX TVBOFYA HAPA


0 comments: