Wakazi Kasulu mkoani Kigoma washerehekea Valentine na Clouds

 
Leo ikiwa ni siku ya Valentine day yaani ni siku ya wapendanao Kwa mara ya kwanza kabisa, wakazi wa Kasulu mkoani Kigoma , wameanza kusikiliza  matangazo ya kituo cha radio cha Clouds fm kwa masafa ya 89.3 FM.
 Clouds fm imeamua kufikisha masafa yake Kasulu, kutokana na matwaka na kilio cha muda mrefu kwa wakazi wa kasulu.
 Akizungumza na ubalozini.blogspot.com mkuu wa vipindi wa Clouds Fm, Sebastian Maganga amesema , wamesikia kilio cha wakazi wa Kasulu na kwa kuwa Clouds ni Radio ya watu hawana budi kuwatimizia kile wanachotaka. Clouds Medi inazidi kupanuka siku hadi siku na ikiweka zamila ya kuwafikia watu wote.
 Kasulu Location Map
Kwa upande wao mkazi wa Kigoma Almas Mzambele amesema  kwa niaba ya wakazi wa Kasulu waushukuruoumgozi wa Clouds media kwa kusikia kilio cha na kuwatekelezea.

0 comments: