Official Video | WYRE ft. BENJAMIN KABASEKE - MONIE | Download

  

Muimbaji wa Dancehall, Wyre a.k.a The Love Child kutoka Kenya ametoa video ya wimbo aliosample kutoka kwenye hit song ya mkongwe wa Soukous, Kanda Bongo Man wa ‘Monie’. Mwaka jana mwishoni Wyre alisema kuwa Kanda Bongo Man alimpa haki zote za kusample wimbo huo ambao ameuchanganya na vionjo vya dancehall.

0 comments: