Official Video | Akothee - Djele Djele | Download


Muimbaji wa Kenya, Esther Akoth anayejulikana kwa jina la kisanii, Akothee ameachia video ya ngoma yake mpya Djele Djele. Video ilifanyika mpakani kwa Kenya na Tanzania, Sirari. Itazame hapa.

0 comments: