Cheki kipande cha video ya Prokoto – Victoria Kimani ft Diamond & Ommy Dimpoz
 Victoria Kimani ameandika kwenye instagram kwamba anahesabu siku tu hadi video hii itakapo toka rasmi. Video hii ilifanyika kwenye maeneo mbalimbali ya Tanzania chini ya director mkenya Kevin Bosco.


0 comments: